Rais Samia Suluhu: Mtu akipata ajali akatibiwe kwanza ndio ianze kufuatiliwa PF3, tunasababisha vifo bila sababu (+ Video)

Rais Samia Suluhu Hassan ametaka utaratibu wa matumizi ya PF3 kabla ya matibabu uangaliwe upya kwani watu wengi wanapoteza maisha wanapopata ajali kwa kuchelewa kupatiwa matibabu kwa kuchelewa au kutokuwa na fomu hiyo maalumu ya polisi.

 

 

Related Articles

Back to top button