Rais Samia Suluhu na Paul Kagame walivyotembelea kiwanda cha magari cha Volkswagen

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.@samia_suluhu_hassan akiwa na Mwenyeji wake Mhe. @paulkagame, Rais wa Rwanda baada ya kumaliza Ziara yake ya kutembelea Kiwanda cha Kisasa cha Magari cha Volkswagen Rwanda kilichopo Kigali Special Economic Zone chenye uwezo wa kutengeneza magari miundo 6 tofauti pamoja na kiwanda cha kutengeneza simu janja za aina tatu.

Related Articles

Back to top button