Afya

Rais Samia Suluhu: Nitaunda tume ya kuchunguza mambo ya Corona, haipendezi kuishi peke yetu kama Kisiwa (+ Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu Hassan, amesema ataunda tume ya wataaalamu ili kuliangalia janga la #COVID19.


Amesema Wataalamu watalitazama janga hilo kwa upana wake na kuishauri Serikali kitu cha kufanya kwa kuwa haifai kukaa kimya wakati Dunia inaongea kila sehemu kuhusu Virusi vya Corona.

Amesema “haipendezi kuishi peke yetu kama Kisiwa ambapo ukiangalia data za Dunia unakuta Tanzania imewekewa deshi, ikiwa haijulikani kama tunakubali au tunakataa uwepo wa COVID19.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents