Rais Samia Suluhu: Serikali imefuta asilimia 6 ya deni kutoka kwa wanufaika wa bodi ya mikopo

“Serikali imeamua kufuta asilimia 6 ya deni kutoka kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu na makato ya asilimia 15 kwa wanufaika wa Bodi hiyo itabaki pale pale, “kuanzia Mwezi Julai mwaka jana Serikali imelipa malimbikizi mbalimbali ya watumishi kiasi cha shilingi bilioni 74, na kati ya fedha hizo zaidi ya bilioni 36 zimelipwa kwa watumishi walimu”

Related Articles

Back to top button