Siasa
Rais Samia: Tumekubaliana kushughulikia changamoto zilizotokea kwenye mipaka yetu (+ Video)
“Kwa lengo la kukuza biashara na uwekezaji kati yetu, tumekubaliana kuendelea kushughulikia baadhi ya changamoto hususani vikwazo visivyo vya kodi ambavyo vinatokeo katika mipaka yetu”