Habari
Rais Samia: Watu wanategeshewa dawa za kulevya (+Video)
“Mamlaka ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na kwenyewe ‘Very Important’, tumekuwa na kesi kadhaa, vijana wetu hawa wanakwenda kumtegeshea mtu pap, wanazunguka unaona kikundi cha watu hicho hapo tumekuja kukupekua, anamadawa ya kulevya mkuu”- Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan