Bongo5 ExclusivesHabariMichezo

Rais wa FIFA Giovanni Infantino na Rais wa CAF wapo Arusha wazungumza haya

RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe akiongozana na Rais wa FIFA Giovanni Vincenzo Infantino katika mkutano wa 44 wa CAF jijini Arusha asubuhi ya leo.

Mbali na hilo Rais wa FIFA Giovanni Vincenzo Infantino amezungumzia kuhusu bara la Afrika kuandaa mashindano makubwa tena kwa mara ya pia mashindano ya Kombe la Dunia.

Na anaeleza kuwa ndio maana wapo kwenye mkutano huu jijini Arusha kwa ajili ya kuzungumzia yote haya.

Lakini pia waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Omary Mchengerwa akizungumzia juu ya tukio linalofanyika jijini Arusha ambapo ni mkutano wa 44 wa Shirikisho la mpira barani Afrika CAF

Mkuyano huu unaongeza nini kwenye sekta ya Michezo, Utalii na taifa kwa ujumla??

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents