HabariSiasa

Rais wa Marekani Biden adai aliyempiga risasi Trump ni shujaa

Biden ametoa hotuba kwa taifa baada ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump kuponea chupu chupu jaribio la mauaji.

Biden alianza hotuba yake kwa kuwaambia “Wamarekani wenzake” juu ya “haja ya kutuliza joto la siasa zetu”.

“Milio ya risasi jana kwenye mkutano wa hadhara wa Donald Trump huko Pennsylvania inatutaka sote kurudi nyuma,” alisema.

Biden anamwita mtu aliyefariki kwa kupigwa risasi ‘shujaa’

Katika hotuba yake, Joe Biden kwa mara nyingine tena anatoa rambirambi zake kwa familia ya Corey Compatore, mtu aliyeuawa kwa kupigwa risasi Jumamosi.

“Corey alikuwa mume, baba, wazima moto wa kujitolea na shujaa, akiilinda familia yake kutokana na risasi hizo,” anasema, akiongeza kuwa umma unapaswa kumuweka yeye na familia yake katika maombi yao.

‘Hakuna mahali nchini Marekani kwa vurugu ‘ – Biden

Rais Biden amekariri kwamba “vurugu kamwe sio jibu” katika siasa za Marekani, akiorodhesha msururu wa matukio ikiwa ni pamoja na jaribio la mauaji ya Rais wa zamani Donald Trump, shambulio la Januari 6 bungeni na shambulio la spika wa zamani Nancy Pelosi.

“Hakuna mahali nchini Marekani kwa aina hii ya vurugu – kwa vurugu yoyote ile milele,” alisema.

“Siasa katika nchi hii zimepamba moto, ni wakati wa kuzituliza.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents