BurudaniFahamuHabari

Rapa Killer alivyopigwa pingu baada ya kushinda tuzo 3 za Grammy, fahamu kosa

Rapa wa Marekani Killer Mike alikamatwa na Polisi mara tu baada ya kushinda tuzo tatu za Grammy usiku wa jana kwa kosa la kufanya makosa kufuatia kufungiwa kufannya kosa lolote mtaani kutokana na masharti ya Mahakama kutokana na kile polisi walichokielezea kama “ugomvi wa kimwili” katika Tuzo za Grammy za 2024 .

Rapa huyo anashutumiwa kwa “kumwangusha” mlinzi katika ukumbi wa tukio zilipofanyiika tuzo za Grammy, Mlinnzi ambaye jinna lake limehifadhiwa wakati wa hafla hiyo, TMZ iliripoti Jumapili.

Clip iliyopostiwa na TMZ inamuonyesha Killer Mike, ambaye jina lake la kuzaliwa ni Michael Render, nje ya Los Angeles’ Crypto.com Arena wakiwa kwenye mvua kubwa huku mlinzi akimsogelea na kuanza kuzozana

Rapper huyo ameachiliwa na anatarajiwa kufika mahakamani baadaye mwezi huu, kwa mujibu wa shirika la habari la Associated Press.

Wakili wa Killer Mike baadaye aliambia Variety kwamba rapper huyo “ametoka na atasherehekea kufurahia kwake kushinda tuzo usiku wa leo.”

Clip hiyo inaonyesha matukio yote mawili, ugomvi ulivyoanza ambapo walinzi walenda kuripoti Polisi na Polisi walimuacha kwanza ashinde Tuzo ndio wamkamate.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents