Rasmi Jose Mourinho atakuwa kocha wa AS Roma ya Italia msimu ujao

Baada ya klabu ya AS ROMA kutangaza kutohitaji huduma ya kocha wao Paulo Fonseca wametangaza rasmi kuwa mikoba yake itachukuliwa na Jose Mourinho.

Related Articles

Back to top button