Mitindo

Rasta mwenye nywele za urefu wa futi 5, Nawasuka akina Diamond Whozu, naingiza mil 1 kwa siku (+Video)

Mmoja ya watu ambao wanazidi kujitapitia umaarufu kutokana na muonekano wake wa Nywele ambazo amezisuka zikiwa na urefu wa zaidi ya futi 5 aeleza sababu za kufanya hivyo.

Rasta huyo ambaye amejitambulisha kwa jina la Pascal ameeleza kuwa kwa siku ana uwezo wa kuingiza sh mil moja kwa kusuka watu pekee yake.

Ameongeza kuwa huwa anamsuka msanii na CEO wa WCB @diamondplatnumz pia @laizer_msafi @whozu_ @stanbakora_ na wengine.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents