Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Ray Kigosi ajifananisha na Diamond Platnumz
@raythegreatest ameeleza kuwa lengo lake ni kuzalisha wasanii wapya akina @ireneuwoya8 @wemasepetu na wengine sio vizuri kujirudia kwenye movie.
@raythegreatest amemtolea mfano @diamondplatnumz kwa namna anavyoibua vipaji vipya na vinapa matunda.
Ameeleza kuwa focus yake sasa ni kuzalisha waigizaji wapya kwa lengo la movies mpya.
@raythegreatest ameongea hayo leo akipata ubalozi mpya wa kampuni ya Ulinzi ya KS4 Security