Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Ray Kigosi asema alichoongea Baba levo alikuwa sahihi
Mkongwe wa Bongo movie @raythegreatest ameeleza kuwa kuwa Producer ni kipaji na sio kila mtu anaweza kuwa Producer, ameongeza namna Maproducer walivyokuwa wengi kwa sasa huendi ndio sababu ya kuwa na movie mbovu.
Alipoulizwa kuhusu kauli ya @officialbabalevo @raythegreatest alikataa kuliongelea kqbisa lakini baadae akasema kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake.
@raythegreatest ameongea hayo leo akipata ubalozi mpya wa kampuni ya Ulinzi ya K4s Security.