Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Ray Kigosi: marehemu Kanumba na Irene Uwoya niliwatoa
Mkongwe huyo wa Bongo Movie @raythegreatest ameeleza namna wasanii wengi wa Bongo movie walivyopitia kwenye mikono yake.
Amewatolea mfano baadhi akimtaja marehemu Kanumba na @ireneuwoya8 lakini Thea na wengine.
@raythegreatest ametaka kuirudisha Bongo movie upya kama ilivyokuwa zamani.
@raythegreatest ameongea hayo leo akipata ubalozi mpya wa kampuni ya Ulinzi ya K4s Security