
Kupitia kwenye kipindi chake pemdwa cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia namna #Rayvanny na #Harmonize wanavyofanya muziki wao.
@el_mando_tz anaongeza kuwa #Rayvanny na #Harmonize wanashindwa kuzifanyia Promo kazi zao pia hawaziachii nafasi.
Amenukuu kauli ya @sallam_sk kuw akuna ngoma zimtoka nyingi nzuri ila hazijafanya vizuri kwa sababu wasanii wengi hawawekezi kwenye Promo.
Mbali na hilo @el_mando_tz amemshauri Rayvanny aache kwenda na TRENDS maana anashusha thamani yake.