
RAYVANNY ATUA NYUMBANI KWA HARMONIZE, IBRAAH AMPOKEA KWA LOVE.
Baada ya @harmonize_tz kutua nyumbani kwake akiwa na Tuzo zake @rayvanny naye afika kwa @harmonize_tz kuchukua tuzo yake.
@rayvanny aeleza sababu za kutokufika Airport kumpokea @harmonize_tz