
RAYVANNY AMPASUA BABA LEVO KUHUSU TUZO ZA HARMONIZE??
Wengi walisema @harmonize_tz hakistahili kushinda tuzo na pia tuzo hizo amepewa ila hajashinda.
@rayvanny hajapepesa macho apiga msumari kwenye kidonda.
Fuatilia YouTube ya Bongofive kupata Updates Zote kuhusu @harmonize_tz