Awards

Rayvanny amekuwa msanii wa kwanza Afrika Mashariki kutumbuiza tuzo za MTV EMA

Msanii pekee kutoka bara la Afrika akitumbuiza na @maluma katika tuzo za MTV EMA HUNGARY

Hii ni show ya kwanza ya @rayvanny katika tuzo hizi lakini pia ndio msanii wa kwanza Afrika mashariki kutumbuiza katika tuzo za MYV EMA.

 

Bofya hapa chini kutazama

https://www.instagram.com/p/CWRZCzbDi0n/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents