
Staa wa muziki wa Bongo Fleva @rayvanny ametua nchini jioni hii akiwa na mpenzi wake @fahyvanny
@rayvanny amemjibu @harmonize_tz kuhusu kuja Airport kuipokea Tuzo yake ama kuifuata Konde Village.
@rayvanny amejibu kuwa ataifuata tuzo yake @kondegang