Burudani
Rayvanny amtambulisha msanii wa kwanza kwenye label yake ya Next level music
Baada ya kuanzisha label yake msanii @rayvanny ambaye yupo chini ya lebo ya WCB siku ya jana amemtambulisha maanii wa kwanza kupitia label yake ya @nextlevelmusic_tz
Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii ya @nextlevelmusic_tz na pia @rayvanny amemtambulisha msanii huyo anayejulikana kwa jina la @macvoice_tz