Burudani

Rayvanny kwenye album ya Zlatan wa Nigeria

Recently mmoja kati ya Rappers wanaofanya poa kwasasa kwenye game ya music nchini Nigeria @zlatan_ibile ameachia tracklist ya album yake mpya ambayo ameipa jina la ‘RESAM’

Album ambayo imesheheni jumla ya ngoma 12, collabo zikiwa 6 na kati ya 6 hizo ni moja tu ambayo inazikutanisha West Africa, East Africa & South Africa.

Track number 11 ‘Energy’ humo ndani unamkuta Mbeya Boy @rayvanny na @shomadjozi kutoka South Africa. Swipe Left ku-feel the Vibe kisha drop comment yako.

Related Articles

Back to top button