Burudani

Rayvanny na mpenzi wake Fahyma wapata mtoto

Habari njema kutoka kwa hitmaker wa Kwetu, Raymond. Staa huyo na mpenzi wake, Fahyma wamebahatika kupata mtoto.

Taarifa za kupata mtoto zimetolewa na Rayvanny kupitia Instagram.

“Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto ???????????? NAKUPENDA!!,” ameandika msanii huyo wa WCB.

Tunawapongeza wawili hao kwa hatua hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents