Habari
Rayvanny – Namshahuri Harmonize amalize Ugomvi na Diamond (Video)

Rayvanny anasema kuwa yeye aliamini kwenye njia ya amani na sio maugomvi.
Anaongeza kuwa kulipa kwake hela nyingi ili kutoka kwenye lebo yake ya zamani sio mbaya hiyo ilikuwa biashara.
Ameweka wazi kuwa alimshauri Harmonize amalize ugomvi na aliyekuwa Boss wao Diamond na anashukuru yameisha.
Interview nzima ipo YouTube ya Bongofive.
Credit by @el_mando_tz and @abbrah255
Imeandikwa na Mbanga B.