Bongo MovieBongo5 ExclusivesBongo5 MakalaBurudaniDiamond PlatnumzMuziki
Rayvanny nimempita – Lukamba (Video)
Kwenye mahojiano ya @el_mando_tz @lukambaofficial anasema kuwa Diamond ndio Role Model wake kwenye muziki maana amejifunza mengi sana.
Anaongeza atakuwa mkubwa kimuziki kama Diamons siku moja Afrika nzima ingawa siwezi kurudi kufanya naye kazi tena.
Anaongeza kwenye suala la Exposure baada ya @diamondplatnumz anafuata yeye hakuna msanii zaidi ya @diamondplatnumz anamshinda kwenye Exposure kusafiri sana.
@majizzo alinipongeza kwenye show ya Mziki Mnene.
Mahojiano yote Part 2 ya @lukambaofficial na @el_mando_tz yapo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa