RC Makonda atoa ratiba ya disko la kesho ‘Tupeane taarifa njema tu, umepata mchumba’ (Video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda @baba_keagan ametoa ratiba ya kesho siku ambayo aliwataka wakazi wa Dar es salaam kula bata na kusherekea baada ya kukaa kwa hofu kutokana na janga la corona. Ameyasema hayo mapema leo alipotembelea kukagua ujenzi wa barabara ya Bamaga na Shekilango.

 

Related Articles

Back to top button
Close