Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond Platnumz
RECAP: Alikiba ameipa heshima Bongo Fleva (Video)
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameichambua EP ya Alikiba kw amara nyingine na kueleza ina sifa ya kuwa EP ya Kimataifa au haina.
Mbali na hilo amempongeza Alikiba kwa kuanzisha Wiki ya Bongo Fleva kitu ambacho imekuja kuipa heshima Bongo Fleva kwa namna nyingine.
Anaongeza ili muziki wetu uwe mkubwa kama Amapiano au Afro beats lazima wasanii wakubwa wawe kipaumbele kuupromote kwa asilimia kubwa.
Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa