Burudani

RECAP: Alikiba aonyesha ukubwa wake Samia Cup – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Mashindano ya

Samia Cup yakiyoandaliwa na Alikiba.

Anasema kwa mara ya kwanza ameshuhudia Project aliyoanzisha Alikiba na imekuwa na mvuto mkubwa na kupendwa na watu wa kila aina.

Anasema katika Mashindano haya ya Samia Cup Alikiba amefanikiwa kuwavuta Mastaa wa aina zote na kwenda kujumuika kwenye Mashindano yale.

Kuna watu wengi sana wametengenza Connection pale lakini pia wengine wamepata ajira kupitia mshindano yao na kuna timu zimepata Ubalozi kisa tu Mashidano yale.

Anasema kuna namna lazima yapewe uzito zaidi maana yameonyesha ni kwa namna gani yalikuwa na mvuto mkubwa zaidi.

Uchambuzi mzima Mzima Upo katika akaunti yetu yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

 

Cameraman & Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents