Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

RECAP: Alikiba hakustahili kushinda Tuzo?? Jay Melody na Mbosso wameonewa??

Kupitia kwenye kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia tukio la Utoaji tuzo za TMA kwa wasanii wa Tanzania.

Amezungumzia mambo mbalimbali ikiwemo malalamiko ya mashabiki kuhusu baadhi ya Tuzo ikiwemo ya Alikiba wakidai hakustahili.

Mbali na hilo Jay Melody na Mbosso kukosa Tuzo haliyakuwa walifanya muziki mkubwa kwa mwaka 2023.

Ameongelea pia Rayvanny kushinda Tuzo haliyakuwa alijitoa kwenye Tuzo na kusema hataki kushiriki, swali linakuja alishindaje na yeye ndio alizikataa??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents