Habari

RECAP: Alikiba Show kimataifa zimepungua, je uwezo umeshuka kwake – El Mando

@officialalikiba anafanya show wikiendi hii Oman na ameitangaza sana na mpaka sasa msanii huyu ni miongoni mwa waliopunguza zaidi shows ndani pamoja na nje ya Nchi.

@el_mando_tz kupitia RecapNaMando anaangazia nini sababu ya msanii huyu kupunguza kufanya Shows

Uchambuzi mzima wa Recap & Mando tayari upo Youtube – BongoFive

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents