Burudani
RECAP: Babalevo anamtoa Harmonize kwenye Focus – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia majibishano ya Baba levo na Harmonize mitandaoni.
Anasema Harmonize aendelee ku-focus kwenye njia yake anayoiamini bali asifanye vitu kwa kupanikishwa na Baba levo mitandaoni.
Anasema Baba levo anapenda kuona Harmonize akipaniki ili atoke kwenye focus ya muziki wake naye atawekeza muda wake kwenye mambo yale yale.
Mbali na hilo anasema Harmonize ni kweli anajigamba kujua Kuimba Kiingereza lakini hakijampeleka Mbali kimuziki.
Uchambuzi mzima Upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.