Burudani
RECAP: BillNass ameisaliti Hip Hop anafanya biashara – El Mando
Kupitia kwenye kipindi chake cha @recap_mando @el_mando_tz ameizungumzia video ya wimbo mpya wa
Billnass wa HOW COME.
Anasema kwa sasa Billnass huwezi kumtaja tena kama Mwana HipHop maana ameisaliti HipHop anafanya muziki wa
TRENDS.
Kwa sasa ameamua kufanya biashara ya muziki, chochote kinachokuja mbele yupo tayari kufanya ilimradi kumtengenezee Numbers.
Kwenye Video ya HOW COME amebadilika na ameonyesha ubora mkubwa sana, Ubunifu zaidi ndio umehusika.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman@samirkakaa &@johnbosco_mbanga






