Burudani

RECAP: Billnass ameridhika, hana njaa tena kwenye muziki – El Mando

Kupitia kipindi cha Recap na Mando @el_mando_tz ametoa maoni yake juu ya Rapper @billnass mara baada ya kuachia ngoma yake ya “Division One”, @el_mando_tz anadai Billnass ameridhika hivi sasa kutokana na mafanikio yake nje ya muziki hana njaa kama awali.

Je, unakubaliana na @el_mando_tz kuhusu @billnass ??

Kuangalia video Kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongofive

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents