Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond Platnumz

RECAP: Darasa alistahili tuzo ya Mwana Hip Hop Bora 2023 (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya Nay wa Mitego na Darassa ya HUSTLE.

Anasema kuwa wasanii wa Hip Hop wakiamua muziki wa Hip Hop utarudi kwenye ramani pale ulipokuwa zamani sema tu hawajaamua bado.

Wimbo wa Nay Wa Mitego na Darassa Hustle umeshiba sana na ni funzo kwa wasanii wengi wa Hip Hop kujua nyimbo za kuimba kwa ajili ya kuelimisha Jamii zao.

Anaongeza kuwa ameshangaa sana Darassa kukosa tuzo ta Mwana Hip Hop bora kwa mwaka 2023 ambayo aliipewa Young Lunya.

Anasema kwa mwaka 2023 hakukuwa na msanii wa kumshinda Darassa hata kwenye kutoa hits nyingi kama Mind your business, Idon’t Care, Romeo na Zuchu na nyinginezo.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive

 

 

 

Cameraman and editor @samirkakaa

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents