Burudani
RECAP: Darassa anabaniwa na G Nako, BillNass – El Mando

bongofive Kufuatia lawama zilizotolewa na Darassa kuwa kuna namna wasanii wenzake Billnass na G Nako wanamtengenezea figisu kwenye muziki kwa kufanya collabo na hawazitoi.
@el_mando_tz kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO amezungumzia sakata hilo na kumpigia simu G Nako kutolea ufafanuzi sakata hilo.
Msikilize G Nako na tayari Uchambuzi wote upo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa