Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond Platnumz

RECAP: Diamond amepoteza Mtu ngumu kupata Mrithi (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ametoa Heshima kwa Marehemu #Didah aliyekuwa Mtangazaji wa Wasafi Fm.

Amewapongeza Wasafi kwa kutoa heshima kwa Didah kwa kuahirisha au kusimamisha Tamasha la Wasafi Festival lakini pia kuendelea kuzungumzia mazuri aliyoyafanya.

Anasema kuwa Didah alikuwa mmoja ngumu kupata mrithi wa Didah kwa namna alivyoisaidia Jamii na kwa namna alivyojitoa kwenye kazi yake.

Wasafi Media wameoteza mtu muhimu sana na kwa namna alivyokuwa anakubalika mitaani ni Challenge kwa Watangazaji wa sasa kutafuta namna ya kuigusa Jamii.

Didah alikuwa na ushawishi mkubwa sana na amesaidia vijana wengi kuingia kwenye media lakini wengi wamefuata nyendo zako.

Anastahili heshima kubwa sana.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

Cameraman & Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents