Bongo5 MakalaDiamond Platnumz
RECAP: Diamond anadhihirisha ukubwa wake kwenye Komasava, Video bora zaidi Afrika (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameuzungumzia video mpya ya Diamond Komasava.
Anasema kuwa Video ya Komasava imekuja kutoa fundisho namna ya uwekezaji unavyotakiwa kuwa kwenye nyimbo.
Diamond ametoa video bora ya muda wote Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.






