Habari

RECAP: Diamond anateswa na Komasava – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP &

MANDO @el_mando_tz amezungumzia Diamond kuhudhuria

Paris Fashion Week na kukutana na mastaa mbalimbali.

Anasema Diamond kufika maeneo hayo sio faida yake pekee yake bali ni faida kwa Taifa maana anaiwakilisha Tanzania

kimataifa zaidi.

Mbali na hilo ameongeza kuwa Diamond baada ya kufanya vizuri sasa ni muda wa kuwekeza kwenyw collabo kubwa na

sio wasanii wadogo wa Afrika Kusini.

Anasema ngoma alizotoa hivi karibuni bado hazijafikia Level ya Komasava na Shuu ambayo ni Standard kubwa sana.

Ameshauri kuwa ajaribu kuwekeza kwa Producers wa nje lakini pia Wasanii wakubwa ili aendelee kufungua milango

zaidi.

Ameitaja Collabo ya Chris Brown na Iravis scott ambao wao wameweka wazi ili upate Collabo yao ni kulipia kiasi fulani

cha pesa.

Uchambuzi mzima Upo YouTube ya Bongofive.

 

 

 

 

 

 

Cameraman @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents