Burudani

RECAP: Diamond awapiga mkwara Burna Boy, Davido na Wizkid (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO El_mando amezungumzia kauli ya Producer S2kizzy.

S2kizzy alidai kuwa Komasava ndio wimbo namba moja kwa sasa duniani na akasema watu msijifanye hamuoni.

Anasema kuwa kweli Komasava kwa sasa ni kubwa sana Duniani na huenda katika nyimbo tatu duniani Komasava ikawepo.

Anaongeza kuwa hayo yote ni kwa sababu Amapiano ndio Muziki namba moja kwa sasa Duniani na ndio muziki wa Biashara.

Ametolea mfano Chris Brown kuitumia Tshwala Bam kwenye show zake ni ishara kubwa sana kwa Amapiano na huenda tukaona hata Komasava ikatumiwa na wasanii wakubwa duniani.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu YOUTUBE ya Bongofive

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Host: el_mando

Cameraman; Samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents