AfyaBongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabariLifestyleMakalaMarimba Music ChartMichezoSiasaTechnologyTragedy

RECAP: Diamond ndio msanii aliyekamilika zaidi kila eneo – El mando

Video ni kali sana ila anauliza Mashabiki kuwa Kwenye Video kuna sehemu Diamond kabadilika ghafla hakumalizia Story ya Wimbo wote.

Katika ya Video Diamond hakueleza kwamba mwisho wa yule dada ilikuwaje maana ghafla alibadilika akawa Msanii.

Katika ya Video Alikatisha story na akabadilisha Story ghafla ingekaa vizuri kama angemalizia Story ya kile alichokuwa anakisimulia kwenye video.

@el_mando_tz anasema aliyeelewa amueleweshe kwenye comment hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents