BurudaniDiamond Platnumz

RECAP: Diamond usibweteke na Interviews ingia studio – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha @recap_mando @el_mando_tz amezungumzia Tour ya Diamond anayoendelea kuifanya nchini Marekani.

Anasema kuwa huu ndio muda sahihi wa Diamond kufanya Collabo kubwa na wasanii wakubwa kutoka Marekani hizo Interview anazofanya kwa sasa zimetosha.

Anasema huu ndio wakati bora zaidi wa Diamond Kimataifa kuliko wakati wowote ule kwenye maisha yake ya kimuziki, Kwa maana hiyo lazima autumie wakati huu kwa mafanikio makubwa.

Kwa namna anayoyafanya kwa sasa Afrika Mashariki hakuna mpinzani tena Afrika Mashariki hivyo asibweteke kwa maana hakuna anayeweza kushindana naye na badala yake aingie Studio na wakali wa Marekani.

Anaongeza kuwa katika kitu kinamshangaza ni kwamba anatumiw muda mwingine Marekani na Ulaya lakini cha kushangaza Collabo anaenda kufanya na Wasanii wadogo Afrika Kusini.

Uchambuzi wote upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

 

 

Cameraman @johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents