BurudaniDiamond Platnumz
RECAP: Dimpoz atoa ufafanuzi juu ya kauli yake na Diamond “Fanyeni kazi”

Siku kadhaa zilizopita @ommydimpoz akiwa na @diamondplatnumz walirekodi clip ambayo walikua wakihamasisha vijana kufanya kazi.
@el_mando_tz ndani ya #Recap anatupitisha katika stori hiyo na nini ambacho walikua wakimaanisha zaidi.






