BurudaniDiamond Platnumz
RECAP: Dudu Baya & Chid Benz, hujafa hujaumbika usiseme mtu mabaya – El Mando

@el_mando_tz kupitia #RecapNaMando anatupitisha katika story ambayo imezungumzwa sana juu ya wakongwe wawili wa Muziki Chid Benz pamoja na Dudu Baya ambao kila mmoja alikua akimzungunzia Mkubwa Fella kwa namna yake.
@el_mando_tz alikua na maoni haya juu ya hiki kinavhoendelea.
Full Interview tayari ipo katika Akaunti yetu ya Youtube – BongoFive





