Bongo5 ExclusivesBurudani

RECAP: Dulla Makabila amebadilika (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake chq RECAP & MANDO @el_mando_tz amezizungumzia nyimbo mbili za Singeli ambazo ni Hassan ya Meja Kunta na Tuzo ya Dulla Makabila.

Anasema kuwa Meja Kunta ameikosea sana Jamii kwa wimbo wao akiwa na Chid Benz na Mabantu kwa maudhui yaliyoimba kwenye wimbo.

Anaongeza kuna haja ya adhabu kuongezeka ili iwe funzo kwa wasanii wengine wenye nia ya kuimba nyimbo za kuharibu maadili kwa watoto.

Amemtolea mfano Dulla Makabila na kusema siku hizi anaimba nyimbo zenye kuelimisha Jamii.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman &Editor @samirkakaa

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents