Burudani

RECAP: Dulla Makabila awaige Ibraah na Vannilah – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MAMDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma ya Dula Makabila ya USWAHILI.

Anasema kwa sasa Dula Makabila anasubiria Zaylisah afanye jambo yeye aingie Studio atunge wimbo wa kumsuta yeye na Manara.

Anasema kitendo hicho kinaonyesha udhaifu kwenye Uandishi wa msanii husika na ni miongoni mwa njia za kuua muziki wa Singeli.

Anasema wasanii wa Singeli wametoka kwenye misingi ya Singeli wanaendeshwa na Trends na ndio maana wasanii kama Ibraah na Vanillah wamefanya vizuri kwenye Singeli kutoka waimba Singeli.

Dula Makabila asipoacha kuhangaika na Zaylisah kwenye muziki wake hatuna muda mrefu anapotea kabisa kimuziki maana nyimbo zake hazigusi maisha ya wengi bali zinamzungumzia Zaylisah na Manara.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents