BurudaniHabari

RECAP: Fahamu namna wasanii wanavyopata hasara Youtube

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia kuhusu Trending za YouTube.

Anasema kuwa ni jambo la kushangaza sana kuona wasanii wakubwa ndio wanaowaaminisha Mashabiki kuwa Uki-Trend Youtube basi wimbo wako umefanikiwa.

@el_mando_tz anasema kuwa Wasanii wetu wanatakiwa kutumia takwimu za Platform zingine za kuuza muziki kwani ndio ambazo zinaweza kuwaingizia pesa nyingi na sio YouTube.

@el_mando_tz amezungumza kwa urefu namna mtandao wa Youtube unavyoweza kuwa hasara kwa wasanii wenye uwezo wa kuwekeza kwenye video.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents