AfyaBongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabariLifestyleMakalaMarimba Music ChartMichezoSiasaTechnologyTragedy
RECAP: Grammy hawajui kama wewe maaarufu fanya muziki wenye quality – Harmonize
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia kauli ya Harmonize kuwa Huwezi kushinda Tuzo ya GRAMMY Kupitia wimbo wa kusalimia watu.
@el_mando_tz ameita hilo ni dongo mojakwamoja kwa Diamond Platnumz kupitia wimbo wake wa KOMASAVA ambao maudhui ni salamu.
Anasema kuwa Harmonize amemkejeli Diamond na yeye kuahidi kuileta GRAMMY mwaka 2025/26 kwa kujiamini kabisa na kuahidi kuwa muandike hilo kwenye kumbukumbu zenu.
@el_mando_tz ameeleza kushangazwa na kauli hiyo ya msanii huyo na kuomba awaambie watu labda nyimbo zenye sifa ya kushinda GRAMMY maudhui yake yanatakiwa yaweje.