Burudani

RECAP: Grammy itakuja Bongo tukiwapa nafasi wasanii kama Abby Chams na Itare – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha @recap_mando @el_mando_tz amezungumzia namna Kiwanda cha muziki Tanzania kinavyopata shida kuzalisha wasanii wapya kama wenzetu.

Anasema kuwa kama tunataka kufika mbali kuleta upinzani kwenye soko la Kimataifa tukubali tukatae lazima tuwape nafasi wasanii wapya kwenye game.

Amemtolea mfano Abby Chams alivyofika mbali na kuwapita wasanii wengi wakubwa Tanzania, na kusema msanii mwngine wa kupewa nafasi anaitwa Itare.

Muziki wa Tanzania umekaa kwenye mfumo wa Kiubaguzi lazima lazima mashabiki wasapoti wasanii wenye vipaji.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

 

Cameraman @johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents