Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
RECAP: Hakuna Matata ya Marioo iwekwe seemu za Kitalii (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia video ya Marioo HAKUNA MATATA.
Anasema kuwa kwa upande wa Marioo hiyo ndio video yake bora lakini pia ni miongoni mwa video bora mwaka 2024 kutoka Tanzania.
Mbali na hilo amesema kuwa video hiyo ya Marioo inafaa kuwekwa sehemu zote za Utalii maana imeutangaza Utalii kwa ukubwa.