Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
RECAP: Hakuna msanii Afrika anampita Jason Derulo kwa number (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amechambua kwa numbers kuwajibu wale wanaosema Jason Derulo hana Impact kwa Diamond na kwa muziki kwa ujumla.
Amechambua number kwa kuanza na wasanii wetu Tanzania wenye numbers nyingi Spotify halafu akaenda Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara na baadae duniani kote.
Ameonyesha numbers za Jason Derulo ambapo hakuna msanii yoyote kutoka Afrika anampita kwa Numbers Youtube na Spotify.
Kwa Youtube Jason kawapita Drake na Chris Brown kwa Subscribers na mengine halafu Spotify ana numbers nyungi sana.