Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond Platnumz

RECAP: Harmonize amekuwa sasa, amefanya Jambo la kiungwana (Video)

RECAP: Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia ujio wa Msanii wa Konde Gang Ibraah.

Anasema Speed ya Ibraah unaweza kuhisi alikuwa kwenye kifungo pale Konde Gang na sasa kaachiwa maana ana hasira sana kimuziki.

Anaongeza Bado Rayvanny kumuachia Msanii wake MacVoice afanye kazi maana ana miezi 5 hajatoa wimbo wowote mpaka hivi sasa.

El Mando anasema wasanii waliotoka wakati mmoja na Ibraah hasa Zuchu yupo mbali sana ila yeye kila mwaka kama anaanza upya hata Tommy Flavour pia tangu aachie Huku yupo Kimya mno.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa

 

V

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents